Pages

Monday, October 3, 2011

MAONYESHO YA LONDON MODEL NETWORK YAFANA

Mdau akipiga picha katika moja ya sanamu za Show hiyo ya London Model Network show iliyofanyika jijini London mwishoni mwa wiki iliyopita kwenye Ukumbi wa AURA uliopo MAYFAIR ikiwashirikisha warembo kutoka pande zote za Dunia, Make up Artist, Stylist, na Designers.
Baadhi ya wadau waliohudhuria Shoo hiyo wakipozi kwa picha na mmoja wa Model aliyeshiriki shoo hiyo.
Mshiriki akipita jukwaani....
Baadhi ya wageni waalikwa katika shoo hiyo.

0 comments: