Pages

Tuesday, November 1, 2011

Esi Sebastian Ala Nondoz .... Hongera sana

 Esi Sebastian wa kulia akiwa na Rafiki yake Evy Kanji  wakati wanapokea Nondoz zao
Picha ya pamoja wakiwa happy pipo baada ya kula nondoz zao
Esi Sebastian akiwa katika pozi la picha wakati wa sherehe hizo za kumaliza Shahada yake 
Baada ya kula Nondoz sasa imefika wakati wa kwenda ku party... 




0 comments: