Pages

Monday, October 3, 2011

DIAMOND AWEKA HISTORY KWA KUMVISHA WEMA SEPETU ENGAGEMENT RING.

Jana pale Maisha Club mtu mzima Diamond alimvisha pete ya uchumba Wema Sepetu, ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa Diamond na akaona siku hiyo iwe maalumu kwa kumvisha pete mchumba wake.
Kabaaaaaaaaaaaa kidole kikazungushiwa ukuta...
Taswira kwa Hisani ya Bongo Star link 

0 comments: