Pages

Friday, October 21, 2011

Twanga pepeta kusugua kisigino Uingereza mwezi Novemba mwaka huu


Mkurugenzi wa ASET Da'Asha baraka akitangaza ziara ya
Twanga Pepeta Uingereza mwezi Novemba

Salam,
Baada ya kufanya na Kumaliza uzinduzi wa albamu yao kabambe tarehe 6 Novemba 2011 ASET wakishirikiana na URBAN PULSE CREATIVE Wanatarajia kuwaburudisha wapenzi wa Bendi Maarufu ya Twanga Pepeta Nchini Uingereza mwishoni mwa Mwezi wa Novemba.
Show Hii Maalum ni kwa ajili ya kuazimisha Miaka 50 ya uhuru wa Tanzania. Tarehe pamoja na maelezo ya Ukumbi yatafuatia mda sio mrefu. Hivyo wadau kaeni mkao wa Kula.
Asanteni,
Urban Pulse Creative.

0 comments: