Pages

Wednesday, October 26, 2011

DIAMOND AMPA MIMBA WEMA.....

NA MUSA MATEJA
IMEFAHAMIKA kuwa  ‘kichaa’ wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’ amemtundika mimba Wema Isaac Sepetu, Risasi Mchanganyiko linakuwa la kwanza kukuhabarisha.

Kipo chanzo makini cha kuaminika kilicho karibu na wawili hao ambacho kilidai kuwa kwa sasa Wema hachezi mbali na maembe mabichi, ubuyu na ndimu vinavyomsaidia kuondoa kichefuchefu.


Chanzo hicho kilidai kuwa ujauzito huo ndio uliosaidia kumaliza ugomvi wao kwa sababu pande zote mbili zilizingatia malezi ya mtoto mtarajiwa.

Ilidaiwa kuwa taarifa hizo zilipotua nyumbani kwa mama Wema, Miriam Sepetu aligeuka mbogo…

Zaidi Gonga hapa: GPL

0 comments: