Pages

Wednesday, October 19, 2011

Charles Baba na Ashura Macheni

Ashura Macheni akiwa na nyota wa muziki wa dansi Charles Gabriel aka Charls Baba anayeishi maeneo ya Block 41 , Kinondoni jijini Darisalaam wakiwa na furaha tele ndani ya KAM PUB inayomilikiwa na Ashura mtaa wa Togo , Kinondoni jijini Dar es salaam ,hapa na mimi King Kif nilikuwa nipo mjengoni na bata ziliruka kwa sanaaa!


Mdau
King Kif

0 comments: